jina ipogolo iringa flani hiviMaduka yote makoroboi na meza zote mlango mmoja Mza ni zangu.
karibu mkuuRejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Darling nisaidie kumuuliza ni tajiri wa nini? hajafafanua bhana tujuetangazo tumelielewa
Mimi niko hapa bwalo la polisi kigoto tuoanane MKUU tuyajengeMimi ndo namiliki ziwa Victoria naishi kigoto hapa nawaangalia tu bishaneni mpaka asb
Ahahhah ujue kweli anaweza kuwa tajiri wa kumbi kumbi anakuja kututisha hapaDarling nisaidie kumuuliza ni tajiri wa nini? hajafafanua bhana tujue
Anaweza kuwa tajiri wa kumbi kumbi halafu anakuja kujitangaza hapa.
Always coins make noice but not otherwise.
teh teh
hahahahahah hakika, matajiri hawaongei bhana, action zinaonyesha lolAhahhah ujue kweli anaweza kuwa tajiri wa kumbi kumbi anakuja kututisha hapa
hapana sikuuona ila mmh huyu tajiri si rizkiHuu uzi mtani wangu miss chagga aliuona kweli hahahah
mmesharudishiwa umeme? hahahahahahMimi niko hapa bwalo la polisi kigoto tuoanane MKUU tuyajenge
mkuu utajiri wako ni wa nini?Rejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
Mzee baba..Hongera kwa utajiri. Je Unalipa kodi stahiki kwa mujibu wa sheria?Rejea kichwa cha habari hapo juu ngependa tujuane vizuri wana jf ili tutengenezeane connection humu humu ndani
ni jambo la muhimu sana kwa uchumi wa nchiMzee baba..Hongera kwa utajiri. Je Unalipa kodi stahiki kwa mujibu wa sheria?