Tufahamiane: mimi ni tajiri mkubwa mwanza mjini wewe je ?

tangazo tumelielewa
Darling nisaidie kumuuliza ni tajiri wa nini? hajafafanua bhana tujue
Anaweza kuwa tajiri wa kumbi kumbi halafu anakuja kujitangaza hapa.

Always coins make noice but not otherwise.

teh teh
 
Ahahhah ujue kweli anaweza kuwa tajiri wa kumbi kumbi anakuja kututisha hapa
 
images
pale unaposubiri kwa hamu picha ya huyu tajiri
 
Back
Top Bottom