Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Daaaaa mie hata sijijui nikoje , wacha nijitathmini leo
 
Hii thread ilibidi isikose picha ila sio mbaya mm ni uyu abilia hapo no details

Huyu ni mkuu wa kituo kidogo cha polisi mikocheni A
Swali linakuja kwako sasa we ni kabilagani
 

Kwa nini usiweke picha yako tu!

Maana hayo maelezo hayatupi uhalisia wa unachotaka kutuambia.
 
Wanao wazuri. Ila huyo wa kati sio wewe.
Mchumba angu hafananii ivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aahahahahaaa
wanangu mnawapa pass mi hamna

hapo nlikuwa nimetoka job ndio maana unashindwa kunigundua [emoji23]
 
Mi km kun mrembo anajiamini yuko tayali twend sawa ila nina mguu mrefu wa apa kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…