Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
haufanani na vituko vyakoFurahi sasa...![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haufanani na vituko vyakoFurahi sasa...![]()
Ohoooo!!!aisee mm ni shemale
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]karibu tena michael
Wanao wazuri. Ila huyo wa kati sio wewe.
haya wewe kataa ila ukweli unaujua.ha ha sina hilo kalio
sawa mkuuhaya wewe kataa ila ukweli unaujua.
Huyu ni mkuu wa kituo kidogo cha polisi mikocheni AHii thread ilibidi isikose picha ila sio mbaya mm ni uyu abilia hapo no details
![]()
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
mbona mi hendsamu umeniruka hapo!!?watto wako wazuri iceman
Hahhaaa ww shunie wwhahahhh ilikua break p
aahahahahaaaWanao wazuri. Ila huyo wa kati sio wewe.
Mchumba angu hafananii ivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
teh tehmbona mi hendsamu umeniruka hapo!!?
mm apa mkuu nimefanyaje tena jamaanHahhaaa ww shunie ww
hahahahateh teh
sijaona kwakweli uhandsome wa baba yao ukweli acha usemwe
hahahhh ya nn nikudanganye ila watto ulituliza akili kwenye kuwatafutahahahaha
daaah!! hata ile ya kunipamba tuuu!!? ndugu yangu nawee!!