Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?

Furahi sasa...
18119258_796220707203025_7176736254462332554_n.jpg
haufanani na vituko vyako
 
Daaaaa mie hata sijijui nikoje , wacha nijitathmini leo
 
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?

Kwa nini usiweke picha yako tu!

Maana hayo maelezo hayatupi uhalisia wa unachotaka kutuambia.
 
Wanao wazuri. Ila huyo wa kati sio wewe.
Mchumba angu hafananii ivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aahahahahaaa
wanangu mnawapa pass mi hamna

hapo nlikuwa nimetoka job ndio maana unashindwa kunigundua [emoji23]
 
Back
Top Bottom