Tufahamiane, wewe ni wa muonekano gani?


Mimi kuanzia kiunoni kwenda juu ni kurefu kuliko kuanzia kiunoni kwenda chini,macho mekundu sana,mguu wangu mmoja ni mfupi hivo huwa natembea kwa kuchechemea pia nina upara kama kinana,nina vinyoleo vingi miguuni,kifuani,tumboni na mikononi wanawake huwa wanasema mimi handsome.
 
Mimi kwa muonekano wangu adhimu.

Ni mwanaume

Mrefu kiasi yaani ule urefu wa kushawishi

Ni maji ya pesa/kunde

Mwembamba kiasi

Sina makalio makubwa mpaka nikipita niangaliwe/kushangaa.

Huwa nanyoa kawaida tu yaani nywele kama zinaota vile.

Meno yangu yana rangi kidogo( kwa baadhi ya watu wa huku kwetu mkoani)nayatunza na kuyasafisha pia(msafi wa meno na kinywa)

Sina kibamia/nina kitu cha wasitani ambacho si haba.

Ndo mwonekano wangu ulivyo hata kama ukikutana na mimi popote pale kwa sifa hizo utanijua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…