Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahahaaa...basi nabaki nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hahahaaa...basi nabaki nayo.
On the way...Njoo pm nikuonyeshe nilivyo
Mmh [emoji134]On the way...
Kuna tatizo kwani?Mmh [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii thread ilibidi isikose picha ila sio mbaya mm ni uyu abilia hapo no details
![]()
hakuna tatizo nenda pmKuna tatizo kwani?
hahahaaWalete basi kwa aunt yao mzungu
Hahahaaa! Sio humu ..hakuna tatizo nenda pm
Tanzania ya uchumi wa kati tutaifikia kweli sisi!Hhahahahahahahah mambo tunayofikiria kama ni haya bado tuna kazi kubwa mbele yetu
Wengi wetu hatujaonana ana kwa ana...
but tunaweza jieleza hapa tulivyo ili angalau kila mmoja apate taswira ya muonekano wa mwenzake...(Nafikiri si mbaya).
.
Sina shaka kuwa mara nyingi ukimjibu au kusoma thread ya mtu kuna mawazo/taswira fulani ya mtu huyo unaipata...kwa namna hii tunaweza isaidia akili zetu kwa kiasi kuipa muongozo wa taswira wa namna mtu(member mwenzio) anavyofanania...
.
NIANZE MIMI:
-Mwanaume
- Ni mrefu kidogo(ft 5 na inchi kadhaa)
- Mweusimweusi
-No six pack wala kitambi
-Mwili wa kawaida japo si mwembamba kutisha
.
Wewe unafananaje?
TehtehtehHii thread ilibidi isikose picha ila sio mbaya mm ni uyu abilia hapo no details
![]()
tuendeleee tu kuichuchumiaTanzania ya uchumi wa kati tutaifikia kweli sisi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasije nichinja aiseeeehahahaa
ngoja waje wajue kwa nini mama yao aliachwa [emoji23]
Njoo pm nikuonyeshe nilivyo
Sio wwNaja