Tufahamishane maneno ya lugha za kigeni yanayotumika katika lugha ya Kiswahili

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Posts
9,604
Reaction score
8,812
Ebu tuyaweke maneno mblimbali humu tunayoyajuwa na yanatumika kwenye Kiswahili.

Mfano
  • Rais la kiarabu
  • Shukrani tena kiarabu

Tuendelee...
 
Mbatata - kiarabu (batatis)
Marikiti - English (Market)
 
Kama kabati ni kireno kwa kumaanisha ni aí na ya farniture inayotumika kwa ajili ya kuhifadhia/ kiwekea nguo au matumizi mengine jee armário ni lugha gani?
Ni meza.
 
Bahari-Bahar
Samaki-Samak
Nauli-Noul
Ilani-iilan
Habari-Akhbar
Tafadhali-T'fadhal
Lugha-luugha....

Maneno ya Kiswahili kutoka lugha ya kiarabu'
 
Jaji-judge = English,
pasipoti-passport=English
,milioni -Million = english
bilion-billion
Trillioni-Trillion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…