Tufahamishane maneno ya lugha za kigeni yanayotumika katika lugha ya Kiswahili

Tufahamishane maneno ya lugha za kigeni yanayotumika katika lugha ya Kiswahili

Depoosit- Dumbukiza - weka pesa kwenye akaunti

Deeposit- Dumbukizo- kiasi cha pesa kilichowekwa kwenye akaunti

Pay in slip - Dumbukizi - kipande cha karatasi kinachotumiwa kukusanya taarifa za kuwekea pesa kwenye akaunti

Fixed deposit- Dumbukizo mshikilio - Kiasi cha pesa kilichoshikiliwa kwenye akaunti ya muda maalum

Depositor - Mdumbukizaji - mtu anayehusika katika zoezi/ tendo la kuweka kiasi cha pesa kwenye akaunti/ mtu anayeshikilia kiasi cha pesa kwenye akaunti.
 
Risiti (receipt), tiketi (ticket), basi (bus) dola (dollar)
 
Mkataba
Biashara
Tajiri
Muamala
Maduhuli
Mahuruji
Huduma
Muhudumu
Waziri
Mudiri
Jumla
Hesabu
Herufi
Mahakama
Sheria
Hakimu
Hukumu
Wakili
Rufaa
Amri
Yote hayo asili yake ni Kiarabu
 
neno lugha ni kiarabu... mfano lughat sawahilia.. lugha ya kiswahili....
neno Saahil ni pwani kwa kiarabu
kwahyo unaposema lughat sawahilia maana yake ni lugha ya pwani,,, kiarabu ni msingi wa lugha ya kiswahili kama unabisha jinyonge

hata hii dar es salam ni kiarabu inatamkwa daaru salam maana yake nyumba ya Amani....

mfano mtu unamuuliza salama huko maana yake amani huko..
kwa taarifa yenu mimi ni mabaki ya Waarabu wale waliotawala znz.
 
Back
Top Bottom