Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

Tufahamishane upatikanaji Wa Spare Parts za BMW

Yeah

Jr[emoji769]
Hapo unazungumzia complete wishbone possible na mount zake zimeshakufa. Kitu kimoja nachukia hizi E46 ni huu muundo wake wa wishbone. Mount

16_%21BZtmmyQ%21Wk%7E$%28KGrHgoH-CgEjlLl5Z,dBKo%21-V8r7w%7E%7E_1_134854.jpg
 
Almost za kwangu zimeshaanza kugonga hasa ukiingia rough road

Jr[emoji769]
 
Niwe wazi kwa jambo Moja !! Nachukia sana MTU aponde gari au kifaa chichote kwakuwa spare parts ni ghali. Hii imetufanya Tanzania barabaran magari yote yanafanana unlike Kenya na Congo. Ishu muhimu ni accessibility tu kwa mtazamo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Toyota/Nissan/Subaru spare parts standard ni bei ghali. Bei rahisi ni spare fake.
 
Niwe wazi kwa jambo Moja !! Nachukia sana MTU aponde gari au kifaa chichote kwakuwa spare parts ni ghali. Hii imetufanya Tanzania barabaran magari yote yanafanana unlike Kenya na Congo. Ishu muhimu ni accessibility tu kwa mtazamo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawahi kununua wishbone ya Nissan Xtrail 250,000 mwaka 2013...hio ndio bei ya wishbone za bmw/vw etc
 
Kwanini hatununuia Brand New mf 2016?
TRA unawajua au unawaona kwenye tv mkuu,,,,

We jaribu kwenda kwenye website ya Toyota tu. Tafuta corolla au hata passo ya 2017 kisha uangalie ile MSRP yake na engine capacity then fanya ukaziweke CC zake na mwaka kwenye TRA vehicle valuation calculator uone balaa lake.

Ushuru wa kuingiza magari ungekuwa unafatisha bei halisi unayonunulia gari Japan kisha wakukate hela fixed aidha 30% ya bei ingekua magoli sana.
 
Hivi mtu akinunua 2018 Porsche Cayene brand new atapata spares na services za uhakika hapa Tanzania?
Duh bado tupo 2017. Anyway CFAO wanauza VW Touareg/Audi Q7 mpya na wanafanyia service and maintance.
Kukujulisha in case hujui VW Touareg/Audi Q7/Porsche Cayenne tofauti yake ni body tu,from engine to suspension they are the same.
 
Kwanini hatununuia Brand New mf 2016?
Kipato mkuu sio kwamba watu hawazioni au hawapendi.
Brand new bmw x5 unaweza kuambiwa $50,000! Ukija na ushuru wa TRA hapo utagonga 150m au 200m.
Kutumia 200m kwenye usafiri benki utakuwa na kiasi gani?
 
Duh bado tupo 2017. Anyway CFAO wanauza VW Touareg/Audi Q7 mpya na wanafanyia service and maintance.
Kukujulisha in case hujui VW Touareg/Audi Q7/Porsche Cayenne tofauti yake ni body tu,from engine to suspension they are the same.
Jana niliona hii gari kwenye mtandao nikavutiwa nayo sana hasa how agressive it is.
I love this car probably next year nafikiria kuliingiza garage yangu.
 
Back
Top Bottom