RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Passat sio mbaya.Kaka za siku tele.....Nahitaji kununua hii gari
VOLKSWAGEN
Passat Variant 3CCAX.
Naomba juu hizi Sedan or SUV'S za VW.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Passat sio mbaya.Kaka za siku tele.....Nahitaji kununua hii gari
VOLKSWAGEN
Passat Variant 3CCAX.
Naomba juu hizi Sedan or SUV'S za VW.
Passat sio mbaya.
VW au Audi?Okay. Unaweza kuwa na alternative best model please?
Wafuasi wa Japanese vehicles inabidi tutulie tuVW au Audi?
VW au Audi?
Jaribu kutumia VW Audi BMW au Benz wiki moja tu uone kama utarudi Toyota.Wafuasi wa Japanese vehicles inabidi tutulie tu
VW ni VW tu kinachobaki ni wewe unapenda shape ipi.VW pls.
Eeh. X3 imechutama kimuundo haivutii. Natafuta medium SUV nafuu. Mithili ya RAV4 au Xtrail ila SI HarrierJaribu kutumia VW Audi BMW au Benz wiki moja tu uone kama utarudi Toyota.
Uzuri wa kitu uko machoni kwa mtazamaji.Eeh. X3 imechutama kimuundo haivutii
Sure. Xtrail inavutia (kwangu)Uzuri wa kitu uko machoni kwa mtazamaji.
Kufananisha X trail na X3 ni sawa na kufananisha Kichuya na Aubameyang.Sure. Xtrail inavutia (kwangu)
Ha ha ha. Kodi TRA ya X3 ni maumivu kwa sisi wanyongeKufananisha X trail na X3 ni sawa na kufananisha Kichuya na Aubameyang.
Ha ha ha. Kodi TRA ya X3 ni maumivu kwa sisi wanyonge
x3 ya 2011 kodi 13,000,000.Kwan Kodi n Tzs ngapi?