Tufanye Check-Up Mara kwa Mara

namuona dokta nyuma anaweka mafuta kidoleni mwake kabisa ayaaaaa

wenzetu wako makini na afya zao.nasikia nyeto ya mara kwa mara inapunguza uwezekano wa kupata prostate cancer kwani inahusisha utoaji wa mara kwa mara wa manii.(frequently ejaculation) kumbuka prostate cancer inawapata watu aged kuanzia miaka 50 na kuendelea ila kama ujanani ulikuwa ina ejaculate always utakuwa umepunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kuipata uzeeni .
 
check up mwishowe ikuongezee presha tuu

tz tunaishi kwa kubahatisha tu.mathalani k.c.m.c vipimo vizito vinafanywa na wataalamu wa kuja mara moja kwa wiki au wiki 2.na sio kwa wagonjwa wa pale tu ni pamoja na walio mikoa mingine ambao majibu yao yanatumwa kwa e-mail sasa check up unafanya saa ngapi kama wagonjwa tu inashindikana?
 

Mi nashangaa watu kuogopa kupima, watu wa hivi ndo huwa wanajihakikishia ati hawana virusi vya ukimwi kwa kupitia majibu ya mkewe, wkt labda wiki imepita alifanya mchepuko usio salama,duh watu wanaviroja!!, ebu nendeni kapime acheni woga.
 

Jamani msilete siasa kwenye mambo siriasi kama haya, ndo maana watanzania hatuendelei, zingatia mada kwa faida ya wengi, usituondoe kwenye mada ndugu.
 
Mods kuachia mada ya namna hii ni kumkosea heshima rais wetu! Mnashiriki kumdhalilisha kiongozi wa nchi. Mtoa mada anastahili kushtakiwa kwa kumdhalilisha rais!

Kumbe huu ni ugonjwa wa Mh.rais peke yake!
 

Sio kweli mkuu,usipotoshe watu, pia uenda unapiga kampeini ili wapiga nyeto waongezeke.
 
Lkn jamani ni ulize hivi hospital gani hapa bongo waweza Pima haya magonjwa na kupata matibabu na vipimo vya uhakika?

Tatizo lingine ni kipato na gharama ya hizo checkups. Mfano mm nilienda aghakhan nilipuruswa zaid ya laki3. Sasa kwa mwananchi wa kawaida ambaye hata hela ya kula ni taabu hawezi mudu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…