Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Check up nchi hii ngumu kaka... Walioko mahututi wenyewe matibabu mgogoro sasa check up so ndio balaa kabisa?
Check up mwishowe ikuongezee presha tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Check up nchi hii ngumu kaka... Walioko mahututi wenyewe matibabu mgogoro sasa check up so ndio balaa kabisa?
Asante kwa kunielewa mkuu,sasa kwa swali lako dogo hilo ni kwamba tatizo hilo la mabusha kuvimba linaitwa Hydrocele.
Tofauti ni kwamba hiyo Hydrocele ni collection ya maji, generally in the tunica vaginalis of the testes (Hivyo inasababisha uvimbe mkubwa kwenye scrotum,wakati Hiyo BPH yaani benign prostatic hyperplasia ni uvimbe kwenye tezi (gland) ambayo iko ndani.Hyperplasia maana yake ni kuongezeka kwa idadi ya cells (an increase in number of cells) na hivyo kusababisha uvimbe.
Hydrocele utaiona mwenyewe ule uvimbe wa scrotum wakati BPH mara nyingi lazima ufanye rectal examination (kuingiza kidole kwenye njia ya choo) na hata kufanya ultrasound kujua size ya uvimbe huo.
Kumbuka BPH ni idadi ya cells kuongezeka (hyperplasia) au cells kuvimba (hypertroph) wakati HYDROCELE ni collection ya maji kwenye scrotum.
mkuu vp umeona upimaji huo.....hahahahaaa huuu upimaji huuu heri anielekeze nijipime wmenyewe tu aiseee, MUNGU aepushie mbali, Pole Profesa Kikwete yaani pamoja na uprofesa wake aaaaaaa
.Kutiwa kidole ni lazima! Daktari anavaa glovu, halafu anakutia kidole. Anakuambia ukohoe!
Procedure
- The doctor will tell you that he needs to insert a finger into your rectum in order to examine the prostate gland.
- Usually you will be asked to stand, feet apart, facing the examination couch and bending forward so that your arms or elbows are on the couch. If you're nervous about not being able to see what's going on, this is a good time to ask the doctor to describe each step to you before it happens.
- The doctor will put on a surgical glove and will cover a finger in lubricant.
- The finger will be inserted in a downwards angle as if pointing to the umbilicus (belly button). You may feel a little pressure, but there shouldn't be any pain or discomfort. If it hurts, tell the doctor immediately.
- A few seconds may elapse as the doctor waits for the external sphincter muscle to relax.
- You may be aware of some movement of the finger before it is removed. :der:
Thank you sir , but you know eenhe sisi kimila hiyo hairuhusiwi , Ha! Ha! Ha! Haaaa!Kutiwa kidole ni lazima! Daktari anavaa glovu, halafu anakutia kidole. Anakuambia ukohoe!
Procedure
- The doctor will tell you that he needs to insert a finger into your rectum in order to examine the prostate gland.
- Usually you will be asked to stand, feet apart, facing the examination couch and bending forward so that your arms or elbows are on the couch. If you're nervous about not being able to see what's going on, this is a good time to ask the doctor to describe each step to you before it happens.
- The doctor will put on a surgical glove and will cover a finger in lubricant.
- The finger will be inserted in a downwards angle as if pointing to the umbilicus (belly button). You may feel a little pressure, but there shouldn't be any pain or discomfort. If it hurts, tell the doctor immediately.
- A few seconds may elapse as the doctor waits for the external sphincter muscle to relax.
- You may be aware of some movement of the finger before it is removed. :der:
Pokea salute mkuu .Asante kwa kunielewa mkuu,sasa kwa swali lako dogo hilo ni kwamba tatizo hilo la mabusha kuvimba linaitwa Hydrocele.
Tofauti ni kwamba hiyo Hydrocele ni collection ya maji, generally in the tunica vaginalis of the testes (Hivyo inasababisha uvimbe mkubwa kwenye scrotum,wakati Hiyo BPH yaani benign prostatic hyperplasia ni uvimbe kwenye tezi (gland) ambayo iko ndani.Hyperplasia maana yake ni kuongezeka kwa idadi ya cells (an increase in number of cells) na hivyo kusababisha uvimbe.
Hydrocele utaiona mwenyewe ule uvimbe wa scrotum wakati BPH mara nyingi lazima ufanye rectal examination (kuingiza kidole kwenye njia ya choo) na hata kufanya ultrasound kujua size ya uvimbe huo.
Kumbuka BPH ni idadi ya cells kuongezeka (hyperplasia) au cells kuvimba (hypertroph) wakati HYDROCELE ni collection ya maji kwenye scrotum.
.
sorry,mm sijaelewa hapa.....akiingiza then ukohoe......hapa doctor anatafuta nn.....uvimbe au kama kunakuwa na maumivu au inakuwaje.......plz
Matola, sio kila mtu ni mbumbumbu...kama mleta mada alikuwa na nia ya dhati ya kuelemisha namna Prostate cancer inavyokuwa diagnised kwa nini ameacha aina nyingine ya vipimo?
Labda nikusadies, unaweza kupima kwa kufanya DRE exam (njia aliyotaja mleta mada) au PSA (blood tets). Kwanini ameacha kusema kuhusu PSA test? Na amejuaje kuwa rais ametumia DRE na PSA test?
Mwisho, nilidhani mada (kama heading ya thread inavyosema) inahusu umuhimu wa kufanya check-up mara kwa mara. Lakini inaelekea nia ilikuwa kuelezea DRE test!

ahsante sana Mkuu. Umeeleza vema. Mada hii imeletwa kwa sababu maalum
Ungekuwa mwl wangu wa science bila shaka ningeelewa na kuipenda. Hitimisho linadhihilisha how good you are.
Sawa mkuu,heshima kwako pia.Pokea salute mkuu .
Hapo kwenye kuingiziwa dole hapana......yaani na teknolojia zooote dunia hakuna kipimo rasmi hadi upigwe dole kamanda mzima kama mimi?
.. PastorPetro unasema vitu vya msingi na kweli lakini dah mada hii itageuka soon kuwa baraaaaa