Pre GE2025 Tufanye hata Mbowe mwenyewe ampe kura yake Lissu, bado atashindwa tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
 
Usicheze na Mbowe, yule ni born town, kuna siku 2023 nilikutana naye pale madson square new york city, mitaa niliyomkuta ndo niliamini yule mtoto wa mjini, lissu bado mshamba sana, unavyomwona kinana na anavyomunipulate politics ndiyo alivyo mbowe, mbowe ni political strategist, usicheze naye
 
Wajumbe mkutano mkuu watakuwa wasengerema wakubwa wakimchagua tena mbowe uenyekiti!.
 
Usicheze na Mbowe, yule ni born town, kuna siku 2023 nilikutana naye pale madson square new york city, mitaa niliyomkuta ndo niliamini yule mtoto wa mjini, lissu bado mshamba sana, unavyomwona kinana na anavyomunipulate politics ndiyo alivyo mbowe, mbowe ni political strategist, usicheze naye
Kila jambo lina wakati wake, alifanikiwa enzi za Chacha Wangwe na Zitto lakini sio sasa.
Time zimeshamkataq
 
Maneno ya watoto haya, hakuna lolote litabadilisha matokeo..Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti chadema.
 
Kwahiyo na wachagga watampigia nani kura? Ndugu yao mbowe au msomi na mwenyekiti mtarajiwa???
 
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
Uña maana hàta Mbowe akipàta kura 0 àtamshinda lissu.
Chadema ni zaidi ya CCM, añayetañgazwa ndiye mshindi,
 
Siasa siyo sheria, ni mikakati, lissu hana mikakati, kifupi anapoteza muda
 
Usicheze na Mbowe, yule ni born town, kuna siku 2023 nilikutana naye pale madson square new york city, mitaa niliyomkuta ndo niliamini yule mtoto wa mjini, lissu bado mshamba sana, unavyomwona kinana na anavyomunipulate politics ndiyo alivyo mbowe, mbowe ni political strategist, usicheze naye
Hakuna kiumbe kiliwahi kuwanyima CCm usingizi kama huyu jamaa,hakuna chama kiliwahi kuwa na mawaziri wa ccm wengi kama huyu jamaa,huyu jamaa anatumia akili,halafu sio mwepesi kupanic hii ndio inamsaidia
 
Ni mgeni wa Siasa za TZ ndiye anaweza kufikiri ati Lissu atoboe kwa Mbowe. Yaani kura 50 zenyewe shughuli.

Mwanasiasa makini hawezi kuanza kubwabwaja hadharani hadi ile mikutano ya siri ya viongozi wa dini kulioifanya.

Kifupi jamaa hafai kuwa kiongozi.
 
Ndo ukweli wenyewe, Lissu hapati hata kura 50
 
Siasa siyo sheria, ni mikakati, lissu hana mikakati, kifupi anapoteza muda
Huyui linalo endelea ....Mikakati ya Lissu ni mizito na yakisomi.Tegemea Lissu kuwa Mwenyekiti kama Mbowe hatamvua uwanachama keshokutwa
 
Jana ndio nimuona kabisa hafai kuwa mwenyekiti napia aliokuwa ajajiandaa kuwa mwenyekiti bali alifanya maamuzi kwa hasira ya kuwekewa Mtu wa kushindana naye katika nafasi ya umakamu
 
Back
Top Bottom