Pre GE2025 Tufanye hata Mbowe mwenyewe ampe kura yake Lissu, bado atashindwa tu

Pre GE2025 Tufanye hata Mbowe mwenyewe ampe kura yake Lissu, bado atashindwa tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usicheze na Mbowe, yule ni born town, kuna siku 2023 nilikutana naye pale madson square new york city, mitaa niliyomkuta ndo niliamini yule mtoto wa mjini, lissu bado mshamba sana, unavyomwona kinana na anavyomunipulate politics ndiyo alivyo mbowe, mbowe ni political strategist, usicheze naye
SASA KATUSAIDIA NINI WANA MAGEUZI ZAIDI YA KUYASAIDIA MA CCM? UTOTO WA MJINI WAKE UNA MANUFAA GANI KWETU WANANCHI? KHERI MSHAMBA LISSU ALIETUSAIDIA KUJUA RANGI HALISI YA MBOWE
 
Lissu can't be a chairperson of such a promising political party like CHADEMA, labda TLP
 
Back
Top Bottom