Tufanye Kitu gani kuepukana na hizi story?

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.

Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao.

Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a coincidence.

Ninachoamini, kuna kipindi kila mtu atapata fursa kushika pesa nzuri, bahati linaweza likakuangukia mapema, au baadae kidogo, but hiyo fursa lazima likuangukie.

Ila sasa, wengi wetu tuna elimu ndogo likija suala la financial and money management.

Matokeo yake, unakuwa na ambition kubwa kuwekeza ila kisa huna financial training na discipline, ni nadra sana utoboe
 
Nilichogunduaa ukiwa na nguvu wekeza vi miradi kibao km utapata hyo fursaa, na ktk miradi hyo kibao usisahau kuwekeza ktk ardhi ppt pale nchi .....km una mtaji nayo n ngumu kuwekezaa na hapa ndipo wanapofelii kimaisha zaidii...
 
Pesa acha tu

Kuna watu wapo smart mpaka unaweza hisi walishawah kuwepo hapa duniani kabla maana kwa jinsi walivyo serious pia na bahat sijui ujuzi yaan kila biashara anayoanzisha hakosei na hata akikosea huoni amepoteza hela
 
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.

Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao.

Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a coincidence.

Ninachoamini, kuna kipindi kila mtu atapata fursa kushika pesa nzuri, bahati linaweza likakuangukia mapema, au baadae kidogo, but hiyo fursa lazima likuangukie.

Ila sasa, wengi wetu tuna elimu ndogo likija suala la financial and money management.

Matokeo yake, unakuwa na ambition kubwa kuwekeza ila kisa huna financial training na discipline, ni nadra sana utoboe
Kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu siyo Jambo Rahis. Imam Hussain A.S mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati alijitahidi sana alivyojitoa nafsi Hadi leo tunaweza kuendelea kusema shahada.

Screenshot_2025-07-15-22-17-10-21_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

4686f1149500889.62e8eb93e0656.jpg

adriz Wakili Dabil Mufti kuku The Infinity Covax
 
Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.

Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao.

Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a coincidence.

Ninachoamini, kuna kipindi kila mtu atapata fursa kushika pesa nzuri, bahati linaweza likakuangukia mapema, au baadae kidogo, but hiyo fursa lazima likuangukie.

Ila sasa, wengi wetu tuna elimu ndogo likija suala la financial and money management.

Matokeo yake, unakuwa na ambition kubwa kuwekeza ila kisa huna financial training na discipline, ni nadra sana utoboe
Kila mtu kwenye maisha yake kuna ka fursa Mungu huwa anampa hata kama sio Pesa direct bali kakitu fulani.

Ukikapuuza au ukakafuja basi ndio Ntolee hiyo
 
Back
Top Bottom