Unamzungumziaje marehemu Machache wa Machame kwenye hili?Siri ya utajiri ni ubahili na kiwekeza kwenye miradi sahihi. Hamna kuhonga, hamna nyumba mdogo na wala hakuna michepuko
Unamzungumziaje marehemu Machache wa Machame kwenye hili?
Kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu siyo Jambo Rahis. Imam Hussain A.S mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati alijitahidi sana alivyojitoa nafsi Hadi leo tunaweza kuendelea kusema shahada.Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.
Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao.
Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a coincidence.
Ninachoamini, kuna kipindi kila mtu atapata fursa kushika pesa nzuri, bahati linaweza likakuangukia mapema, au baadae kidogo, but hiyo fursa lazima likuangukie.
Ila sasa, wengi wetu tuna elimu ndogo likija suala la financial and money management.
Matokeo yake, unakuwa na ambition kubwa kuwekeza ila kisa huna financial training na discipline, ni nadra sana utoboe
Kila mtu kwenye maisha yake kuna ka fursa Mungu huwa anampa hata kama sio Pesa direct bali kakitu fulani.Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao.