Wafuasi wa Rais
Senior Member
- May 31, 2023
- 151
- 148
Leta mdahalo. UsiogopeHana mpinzani kabisa na ndie mwanamke mwenye kundi kubwa la machawa wakiume dunia nzima, yupo vizuri mno kwa kwel. View attachment 3054599
Midahalo ya mitandaoni kama space za X. Kampeni bado.Kampeni?
Niogope kitu gani,?Hana mpinzani kwenye hilo, mdahalo wa nini sasa?Leta mdahalo. Usiogope
Upinzani anao. Ila bahati mbaya hawana hoja zenye mashiko.Niogope kitu gani,?Hana mpinzani kwenye hilo, mdahalo wa nini sasa?
Sawa ni mwanamke gani mwenye chawa wengi kumzidi?Upinzani anao. Ila bahati mbaya hawana hoja zenye mashiko.
Kuungwa mkono kwenye kazi yako ni uchawa? Ndio maana itikadi za kisiasa zinawapovusha fikra. Achaneni nazo.Sawa ni mwanamke gani mwenye chawa wengi kumzidi?
Kuungwa mkono kupo , na uchawa upo ,hilo neno uchawa kumbuka lilizinduliwa kabisa..Kuungwa mkono kwenye kazi yako ni uchawa? Ndio maana itikadi za kisiasa zinawapovusha fikra. Achaneni nazo.
Na wanam mislead bila yeye kujua! Huenda ana nia njema ila wanaomzunguka ndo wanaomwelekeza shimoniSawa ni mwanamke gani mwenye chawa wengi kumzidi?
Umasikini umetamalaki huko vijijini nyie mbakuja na swagwa za kijinga jinga hapaMdahalo uwe live hapa hapa JF. Jukwaa la kisiasa la JF sasa liwe la midahalo ya kisiasa hapa nchini Tanzania.
Mada mojawapo kati ya hizi mbili, au zingine vile mtakavyoona:
1 - Itikadi za kisiasa ubaya na uzuri wake.
Sisi kama Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais yaani President Supporters Network (PSN) hatukubaliani na itikadi za kisiasa. Hazina tija kwenye ulimwengu wa siasa za kisasa. Zimepitwa na wakati.
Zinasababisha uhasama usio na tija na mgawanyiko kwenye jamii. Kwa maneno mengine husaidia kuondoa uzalendo wa kitaifa, umoja na pia hupovusha fikra.
Tunakubaliana na tunaamini kwamba Rais ndio kila kitu bila kujali chama chake cha siasa; yaani hakuna sababu ya kuwa na itikadi za kisiasa. Rais akishachaguliwa kila mmoja awe nyuma ya Rais kumsaidia kwa ajili ya Taifa letu wenyewe.
2 - Mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan, phD akiwa kama Rais wa Taifa letu.
Yapo mengi mazuri sana aliyofanikiwa. Kama Wafuasi Binafsi wa Rais tunakiri pia kuwa baadhi ya watendaji wake walimuangusha aidha kwa bahati mbaya ama kwa sababu hawana weledi wa kazi waliyopewa. Lakini mara kwa mara akiwabaini anawaondoa haraka sana.
Ila kwa ujumla wake, anafanya vizuri sana kiasi kwamba tuna nguvu kubwa mno ya kufanya midahalo na yeyote yule kwa sababu facts zipo na zinajieleza zenyewe.
Sasa, tunaomba midahalo ya mara kwa mara kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.
Unaweza kuwasiliana na Mratibu wa Wafuasi Binafsi wa Rais kwa ushirikiano zaidi.
Mleteni mpinzani yeyote yule anayepinga mafanikio ya Rais. Mleteni mwanasiasa yeyote yule anayeamini katika itikadi za kisiasa. Tutawaumbua.
Karibu pia tuwasiliane kwa njia ya private message (pm).
Mratibu Mkuu,
Mtandao wa Wafuasi Binafsi wa Rais (PSN),
Mobile: +255 (0) 675 777 162.
Email: presidentsntz@gmail.com
Ni kweli kabisa , picha mbaya inatengenezwa na hawa machawa.Na wanam mislead bila yeye kujua! Huenda ana nia njema ila wanaomzunguka ndo wanaomwelekeza shimoni
Hapa kwetu kumsema mtukufu rais ni uhaini..ila deep moyoni siku akirudi H.E Magu au Mwal Julius nitawapigia, mambo hovyo kabisa ila uhuru tunao kwenye bendera.Ni kweli kabisa , picha mbaya inatengenezwa na hawa machawa.
Mimi nafikiri kumtukuna kiongozi sio busara ila kumkosoa ni sawa kabisa hauwezi kubalika na kila mtu.Hapa kwetu kumsema mtukufu rais ni uhaini..ila deep moyoni siku akirudi H.E Magu au Mwal Julius nitawapigia, mambo hovyo kabisa ila uhuru tunao kwenye bendera.
Kumkosoa mtukufu ni kumtukana...kuna huyu aliyesifu bao la mkono pasi kujua bao la mkono halitii mimba! You no wat am seyingMimi nafikiri kumtukuna kiongozi sio busara ila kumkosoa ni sawa kabisa hauwezi kubalika na kila mtu.
Binadamu anajitambulishaje km chawa?Kuungwa mkono kupo , na uchawa upo ,hilo neno uchawa kumbuka lilizinduliwa kabisa..