Pre GE2025 Tufanye Midahalo kuhusu itikadi za kisiasa nchini au mafanikio ya Rais Samia Awamu ya 6

Pre GE2025 Tufanye Midahalo kuhusu itikadi za kisiasa nchini au mafanikio ya Rais Samia Awamu ya 6

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna mjadala,miradi ya JPM ilitengeneza ajira na inapokamilika imetengeneza ajira na tumeona mfano kwenyw SGR ,stend na masoko.
Sasa Mh kuruhusu mifuko ya hifadhi kujenga Kenya jengo la ghorofa mimi naona haipo sawa,inapeleka ajira kule.
pili dunia inatutegemea kwa makaa ya mawe sisi tunahangaika na wauza mkaa na wakata misitu,ni vyema makaa ya mawe tueleweshwe na sisi watz tuanze kutumia na tutunze miti yetu.
ukipita na treni unaona imebaki vimiembe na vimiti vidogo dogo,baada ya miaka 20 hatutokuwa na miti.Tueleweshe jinsi ya kutumia hii nishati tuokoe nchi.
Kwa taarifa tu,Ukrane wamegomea mafuta na gesi ya Russia na wanaagiza makaa ya mawe yetu kwa kupitia Kenya.Kenya ndio anasomeka kama nchi inayo export kiasi kikubwa kwenda Ukrane,sisi hapa dar hatujui kutumia.
Andaeni mdahalo. Kila kitu kina majibu yaliyoonyoka na yanayoshawishi.
 
Kila siku eleweni hili. Rais ni nchi. Nchi ni Rais. Rais ndio lango la baraka katika nchi na ndio lango la laana katika nchi.

Kila mmoja wetu achukue hatua stahiki kumsaidia Rais badala ya kukaa kijiweni ama mitandaoni na kumlaumu. Haisaidii chochote.
 
Back
Top Bottom