Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salaam,
Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote.
Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga kura.
Pia soma: TAMISEMI: Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2024 zitaanza tarehe 20 hadi 26, Novemba
Hii haimaanishi kuwa hakuna wanawake wenye uwezo wa kushika nafasi hizo na kuzitendea haki, naamini hata huko mtaani mnawajua na kutamanai apate nafasi ili asaidie kunyoosha mambo na kuleta maendelea, lakini kutokana na changamoto mbalimbali ushiriki wao umekuwa mdogo sana.
Unadhani nini kinatakiwa kufanyika ili ushiriki wa wanawake ambao hasa ni vijana kwenye masuala ya siasa na hasa kwenye uchaguzi huu ambao upo karibu wa serikali za mtaa?