Asante mama kwa kutoa uzoefu wako nadhani KAUMZA amekusoma,Pole sana mkuu. Mimi ni shuhuda kwa hili.
Nilishauriwa niache hivyo hivyo. USIKAMUE MAZIWA maana uzalishaji wa maziwa utaendelea pia awe anakula chakula cha kawaida. Nilikuwa natumia panadol kupunguza maumivu ya homa ingawa matiti yalivimba hadi kwapani siku ya kumi nikashangaa yamerudi kama nilikuwa sinyonyeshi.
Kwa Ushauri wangu si vizuri kuyazuia maziwa ili yasitoke angalingojea kwa muda fulani kama wiki 1 au wiki 2 yatajifunga yenyewe kuto kutoka lakini ukitaka. Dawa tafuta dawa hii hapa Uchukue majani na Muhungiro au Muhungura ayaponde makapi ayapandishe kwa kupandisha juu ya maziwa kila siku afanye hivyo maziwa yatakauka. Hizo dawa kaulize kwa wauza dawa za asili Wa Kwe.re.Mke wangu alijifungua yapata wiki ya tatu sasa. Bahati mbaya, mtoto hakuwa riziki.
Sasa maziwa yamekuwa yanajaa na kumwagika.. Afanyaje ili yakauke na yasiendelee kutoka?