Tufanye nini ili maziwa yakauke na yasitoke?

Tufanye nini ili maziwa yakauke na yasitoke?

Pole sana mkuu. Mimi ni shuhuda kwa hili.
Nilishauriwa niache hivyo hivyo. USIKAMUE MAZIWA maana uzalishaji wa maziwa utaendelea pia awe anakula chakula cha kawaida. Nilikuwa natumia panadol kupunguza maumivu ya homa ingawa matiti yalivimba hadi kwapani siku ya kumi nikashangaa yamerudi kama nilikuwa sinyonyeshi.
Asante mama kwa kutoa uzoefu wako nadhani KAUMZA amekusoma,
lkn pia asipuuze ushauri wa kwenda hospitali.
 
Last edited by a moderator:
Uko wapi mkuu? Usimkamue acha tu japo yatamtesa kidogo kwa muda lakini yatakauka yenyewe. Kama upo karibu na Kilimanjaro, au una mtu anayeweza kukutumia mzigo, kuna viazi flani hivi, vinaitwa viazi vikuu. Huchomwa barabarani mjini Moshi. Mchomee kama viazi viwili hivi anakula. Ni vigumu kidogo lakini ni dawa ya ajabu mno. Vinakausha hayo maziwa kwa siku mbili kamili. Huwezi amini
 
Nipo Dodoma. Viazi vikuu ninaweza kuvipata bila taabu yoyote.
 
Dah pole kaka ni mipango ya Mungu. Kesho nenda hsptl utapata usaidizi
 
Mke wangu alijifungua yapata wiki ya tatu sasa. Bahati mbaya, mtoto hakuwa riziki.

Sasa maziwa yamekuwa yanajaa na kumwagika.. Afanyaje ili yakauke na yasiendelee kutoka?
Kwa Ushauri wangu si vizuri kuyazuia maziwa ili yasitoke angalingojea kwa muda fulani kama wiki 1 au wiki 2 yatajifunga yenyewe kuto kutoka lakini ukitaka. Dawa tafuta dawa hii hapa Uchukue majani na Muhungiro au Muhungura ayaponde makapi ayapandishe kwa kupandisha juu ya maziwa kila siku afanye hivyo maziwa yatakauka. Hizo dawa kaulize kwa wauza dawa za asili Wa Kwe.re.
 
kaka...kuna dawa hosp ukienda unapewa!! nshawah pata hyo changamoto..ndan ya sku7 maziwa yanakata
 
mkuu pole sana... shemeji atumie tu dawa, aende hospitali atasaidiwa.
 
Back
Top Bottom