tz2015
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 982
- 447
Asante mama kwa kutoa uzoefu wako nadhani KAUMZA amekusoma,Pole sana mkuu. Mimi ni shuhuda kwa hili.
Nilishauriwa niache hivyo hivyo. USIKAMUE MAZIWA maana uzalishaji wa maziwa utaendelea pia awe anakula chakula cha kawaida. Nilikuwa natumia panadol kupunguza maumivu ya homa ingawa matiti yalivimba hadi kwapani siku ya kumi nikashangaa yamerudi kama nilikuwa sinyonyeshi.
lkn pia asipuuze ushauri wa kwenda hospitali.
Last edited by a moderator: