Tufanye nini ili vijana wengi waingie kwenye Ujasiriamali wa Kijamii?

Mleta uzi naomba utoe ufafanuzi, naona raia wanchanganya mjasiria mali wa kusaka faida binafsi (business enterprise entrepreneurship) na yule anayesaka faida ya jamii bila yeye kufaidika binafsi(social entrepreneurship).....

Maana natumia misuli kumfafanulia mtu hapa na yeye yupo busy kunibishia.....
 
In the real world au maisha halisi ni lazma kuwe na kitu kinachompa mtu hamasa ya kufanya kitu flani aidha ni maslahi,uzalendo , utu ama udini na kadhalika ...

Mtoa mada kama nimemuelewa ni kuwa tutafanyaje ili hawa watu waongezeke... yap tunaweza kuwa na watu wenye nia thabiti lakini je wana uwezo wa kufanya hayo unayoyasema ???....

Chochote tukifanyacho ili kuondoa tabu flani siku zote ni lazma kuihitajike pesa ,ubunifu na ustahimilivu na pia lazma itengenezwe pesa ili ikidhi mahitaji ya mtoaji unless ni mtawa

Hivyo best solution ni

1. kuanzia katika mfumo wa elimu ili watu wapate jicho la kuona fursa .
Fursa ni tatizo lolote lile linaloweza kutengeneza pesa

2.Tubadili mindset kuanzia majumbani..yaani mtoto ajengewe uwezo wa kuwa financially free na pia kutokuwa na ubinafsi

Hayo niliyoyataja yatatengeneza shauku ,utayari na uwezo wa kufanya ujasiriamali wa kijamii... kumbuka desire and willingness without ability is equal to nothing
 
kama huu wa kawaida wanaukwepa ndio itakuwa hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…