Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habarini za leo ndugu WaTanzania,
Convincing power ni uwezo wa kutumia ulimi wako vizuri kwa kutumia lugha ya kawaida isio kali kumshawishi mtu akupatie kile unachokihitaji.
Mtu mwenye convincing power hatumii lugha za ajabu hujenga hoja kwa kutumia lugha ya kawaida sana isiyo kwaza wala kumchukiza mtu.
Lakini pamoja na kwamba mtu huyo hutumia lugha ya kawaida ujumbe uliobebwa ndani ya lugha yake huweza kusikika na akasikilizwa.
Tuepuke Watanzania kutumia lugha za ukali, lugha za ajabu na pia tusitumie lugha za matusi. Twende kisomi tujenge hoja zenye ujumbe wenye nguvu ya kuweza kusikika lakini hoja hizo zitumie lugha ya kawaida isio kwaza wala kuchukiza.
Kwani kutumia lugha za ajabu haipendezi kwa mtu aliye elimika. Kwa leo sina mengi sana ya kushauri. Nitaishia hapa.
Kazi iendelee.