Mwanjigwene
Member
- Mar 1, 2021
- 48
- 33
Siasa ni sayansi, chadema nendeni kwa hesabu, watanzania tunawashangaa, mama ni kiongozi makini anayejua kucheza karata zake, mtaji ni wananchi, ambao ndio waoiga kura, acheni lugha za kibabe ni ushamba, kwani mnamtisha nani? Amirijeshi mkuu? Haya sisi kazi uetu ni kishauri tu, mimi nashauri, tutafute njia ya itafanya katiba iheshimiwe, na kila kiongozi!