Tufanye siasa kwa Weledi na kutumia hoja na 'convincing power', si lugha za ajabu

Siasa ni sayansi, chadema nendeni kwa hesabu, watanzania tunawashangaa, mama ni kiongozi makini anayejua kucheza karata zake, mtaji ni wananchi, ambao ndio waoiga kura, acheni lugha za kibabe ni ushamba, kwani mnamtisha nani? Amirijeshi mkuu? Haya sisi kazi uetu ni kishauri tu, mimi nashauri, tutafute njia ya itafanya katiba iheshimiwe, na kila kiongozi!
 
Wapiga kura ni wananchi ambao haki yao ya kupiga kura haiheshimiwi, badala yake kura za kwenye "mabegi meusi" ndio zinaamua mshindi, na mama ni "kiongozi makini" anayejua hata kama wananchi wakichagua upinzani, ushindi watapewa CCM (Samia alipokuwa Mbeya kwenye kampeni mwaka jana), bado umelala amka.
 

Haya basi mtukaneni huyo kiongoz, tuone kama mtachukua Dola kwa matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…