Tufichue maovu, uvunjifu wa sheria na kukosa ustaarabu katika huu uzi

Tufichue maovu, uvunjifu wa sheria na kukosa ustaarabu katika huu uzi

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
JF Where we Dare to Speak. Ahadi ya mwana Tanu inasema nitasema ukweli daima Fitna kwangu Mwiko.

Admins. Kwenye huu uzi tutaweka watu au vitendo vya kuvunja sheria, utovu wa nidhamu, kukosa ustaarabu, kuvunja amani na kuleta hali ya sintofahamu. So kila kitu kitakuwa kwa uwazi bila kusingizia au konea mtu. TUNATAKA KUFICHUA UOVU.


Jana nlipata nafasi ya kutembelea Hospital ya Mloganzila kumsalimia rafiki yangu aliyelazwa Jumamosi. Nilikuta madereva wasio wastaarabu wamepark gari zao sehemu ambayo si sahihi. Huku eneo kubwa la parking likiwa wazi tu. Huu ni uharibifu wa Mali ya Umma. Sehemu hiyo waliyopandishia tairi si sehemu iliyoundwa kwa namna hiyo ya kupark gari.

IMG_20230522_133610.jpg
IMG_20230522_133605.jpg
IMG_20230522_133556.jpg
 
Back
Top Bottom