Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,145
Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua
----------mh! hao tu, mbona kama wengine umewaacha. Hebu pita nyumba ya tatu kushoto kutoka hapo kwenu. Na huyo je nani? teh.......Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua