Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,145 Sep 13, 2013 #1 Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua
Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,789 Reaction score 22,756 Sep 13, 2013 #2 kejof2 said: Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua Click to expand... ----------mh! hao tu, mbona kama wengine umewaacha. Hebu pita nyumba ya tatu kushoto kutoka hapo kwenu. Na huyo je nani? teh.......
kejof2 said: Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua Click to expand... ----------mh! hao tu, mbona kama wengine umewaacha. Hebu pita nyumba ya tatu kushoto kutoka hapo kwenu. Na huyo je nani? teh.......
J jenereta Senior Member Joined Apr 9, 2013 Posts 146 Reaction score 40 Sep 13, 2013 #3 Ni kweli mangi anauza hapo hata mi namfahamu, anauza na mchele, unga wa ngano, mafuta, nazi n.k
Mr. Marangu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2013 Posts 1,574 Reaction score 1,595 Sep 13, 2013 #4 kwani kwenu ugali mnaopika mnatumia nn bila shaka nime wanasa mnatumia unga