Tufundishane Ujasiriamali

Salaam wakuu,
Shukran kwa alieanzisha hii thread na wote waliochangia. MUBARIKIWE.
Jamani naomba contact za mjasirimali mwenye pizza store au bakery naomba kusoma kutoka kwake.
Pia naomba fundi wa umeme atakaenisaidia kuconvert mashine zinazotumia umeme wa Marekani ziweze kutumika Tanzania.
Natanguliza shukrani
 
fatmas kwanini usiiandike hii kama thread inayojitegemea nadhani ndio itakusaidia zaidi.
 
Tunaomba feedback Wanajamii mlihudhuria semina hii?

Kuna yeyetote wa kujitolea kutushsirikisha hapa kwenye jukwaa?

Ubarikiwe sana Babalao ; mungu akutie nguvu!
 
Tunaomba feedback Wanajamii mlihudhuria semina hii?

Kuna yeyetote wa kujitolea kutushsirikisha hapa kwenye jukwaa?

Ubarikiwe sana Babalao ; mungu akutie nguvu!

Mkuu usikute watu walikula kona mbona hakuna anayetushuhudia aliyopata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…