Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Unaongea ukweli mtupu huwa nashangaa huku Goba Marathon wakitoka kukimbia ni bata pombe kwa kwenda mbele, naona wamefanya kama sehemu ya kuenjoy

Wakati huo wake zao wapo nyumbani na watoto yaan bongo hii kil siku watu wanakuja na idea mpya we hushangai kila siku kuna marathon mpya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babal lao nasema hivi.
Sasa si uache wale starehe yao kwani umekopwa dudu yako wee mama lao, waache Kili marathon iambatane na utalii wa ndani na kulana na kuliwa pia.. Waache maisha ndio haya magumu acha watu wafanye yao ili mradi hawavunji sheria, ndio kupumua huko, alaa.. [emoji28]

sheria wanavunjaa baba lao yaan unaniachaa nyumbani wkaati mwenzangu mwaenda kula starehe huko ntauaa mtu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom