Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Kula tunda kimasiharaaa, ngoja nami nijiandae kwa mwakani nkashuhudie

Tuwaombee afya njema walopata ajali huko mombo-Tanga wakitokea Kili Marasonyi. 😎
 

Ninapokaa Mimi wakati Kikundi cha Jogging kikianza kulikuwa hakuna Kesi za Usaliti ila hivi karibuni tu nimeshuhudia Wake za Watu kama 5 hivi wakija Kugombana na Wanawake waliopo Kikundini lakini pia nimeweza Kushuhudia Waume za Watu kama 3 hivi wakija Kugombana na Viongozi wa Kikundi na Wanaume baadhi Wakimbiaji. Na hata Maambukizi ya VVU / UKIMWI katika hicho Kikundi kwa sasa yanaongezeka kutokana na Ufuska unaoendelea ila unafichwa kwa Kisingizio cha Jogging Club. Najua Dada yangu kwa hili wengi hawatakuelewa na wanaweza hata Kukudhihaki ila nakubaliana na ulichokiandika hapa kwa 99.9% kwani nakiishi na nayaona 24/7.
 
Umelionaje hilo kama wewe siyo mshiriki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo wivu, yaonekana umekosa hata wa kukusalimia so unaamua kumwaga mboga. Wacha watu wafurahie uumbaji wa Mungu Mwenye enzi yoye, Watu wanapunguza pia mastress, huwezi kila siku unakunywa coca, kunakipindi unatamani angalau ston tangawizi😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…