Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

Mbowe naye anakubalije mialiko ya ki ndezi ndezi kutoka kwa mwenyekiti ma CCM aliye mfunga?? Nadhani huu ni muda sahihi kwake kupumzika na kumuachia chama Tundu Lissu ili harakati zingine ziendelee
 
Odinga si atamlinda uhuru

Zote siasa hizo

Ova
 
Hatuna cha kujifunza kutoka Kenya
 
Siasa za kweli zinatazama perfomance siyo uswahiba

Hayati Mwl. Nyerere alimpigia kampeni mbunge wa upinzani Musoma miaka ya 1995 kwakuwwa alimuona ni bora kuliko wa chama chake
 
Lakini Pasco si unajua FDR franklin delano roosevelt wetu anapiga jeramba??au unajifanya haujui!!??
Mkuu RAISI AJAYE , sio najifanya sijui, kiukweli sijui!, kuna watu humu wanadhani mimi najua kila kitu, kiukweli kuna vingine, sivijui!. Mfano hata simjui FDR franklin delano roosevelt wetu!.
P
 
Zambia na Malawi huzifanya sana; siyo mara moja ila mara nyingi tu. Mwaka 1995 Nyerere ilikuwa ampigie kampeini mgombea wa NCCR Mageuzi iwapo CCM isingemptisha Mkapa.
 
Mkuu RAISI AJAYE , sio najifanya sijui, kiukweli sijui!, kuna watu humu wanadhani mimi najua kila kitu, kiukweli kuna vingine, sivijui!. Mfano hata simjui FDR franklin delano roosevelt wetu!.
P
Wewe huijui mbingu tu Pasco!!vingi unajua Wewe!!hata kupaa umewahi kupàa ndotoni sembuse FDR!?WAKATI thread ya mwendazake kuingia kitalani ulikuja nayo humu!!!???
 
Against upinzani,usio rasmi, ndani ya CCM
 
KWA MAONI YANGU VIONGOZI WAKUU AKIWEPO RAIS WANAPASWA KUTOFUNGAMANA NA VYAMA BALI WAWE PEMBENI KUSHAURI MAMBO YA NCHI KWA UZALENDO MKUBWA NA KUSIMAMIA KATIBA YA NCHI. WASIJIHUSISHE NA VYAMA NI HATARI KWA NCHI
 
VIONGOZI WAKUU WASTAAFU
 
Dhidi ya Sukuma Gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…