Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

Sawa
 
Viongozi woote wa tanzania hasa wastafu hata kitokee kituko gani kwenye nchi yetu wao wamekaa kwenye mode ambayo wanaona hayawahusu.

Hii ni kutokana na fact kwamba kiongozi aliyeko madarakani anawapa mfao yao kama fadhila. Huku wakitarajia watoto wao pia wapate fadhila kwenye vitengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…