Tufungulieni mtandao wetu pendwa wa X wengine tunafaida nao.

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki sisi wengine.
 
Halafu Ikulu wanakuambia Kuwa tupo mubashara twitter wakati huo mtandao unamambo ya ngono
 
Tumia vpn, mbona wengi tu tunautumia na Serikali yetu pia inatoa taarifa nyingi huko huko, sasa sijui wana maanisha nini?
 
Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki sisi wengine.
Promise
Hamtautumia kutukana viongozi na kufedhehesha watu
 
Unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kutoa maoni?
Je maoni mazuri kwako ni lazima yawe hivyo?
Ni kiongozi au mtu gani aliyetukanwa? Je mitandao ya kijamii ni tweeter tu?
Kwann tweeter na siyo fb
 
Back
Top Bottom