DuhHalafu Ikulu wanakuambia Kuwa tupo mubashara twitter wakati huo mtandao unamambo ya ngono
PromiseViongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki sisi wengine.
Unajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kutoa maoni?Promise
Hamtautumia kutukana viongozi na kufedhehesha watu
Haya majitu ya CCM hayajitambui. si umeona uharo aliweka hapoUnajua chochote kuhusu haki na uhuru wa kutoa maoni?
Je maoni mazuri kwako ni lazima yawe hivyo?
Ni kiongozi au mtu gani aliyetukanwa? Je mitandao ya kijamii ni tweeter tu?
Kwann tweeter na siyo fb
Vpn? Siijuwi kwakweliTumia vpn, mbona wengi tu tunautumia na Serikali yetu pia inatoa taarifa nyingi huko huko, sasa sijui wana maanisha nini?
Hapo sasa wao kumbe wanatumia.watuachiye mtandao wetu pendwa.Halafu Ikulu wanakuambia Kuwa tupo mubashara twitter wakati huo mtandao unamambo ya ngono