Tufurahi kidogo:Je una historia gani na kuberi?

View attachment 3593158

Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi πŸ˜‚.
kuna rafiki yangu tukiwa shule,
alikua akibwia kuberi tu ni lazima abanwe na nnya akashushe tofali chooni, that was must ,

binafsi kuberi ilinishinda, yaani kitu unaweka mdomoni tu na humezi wala nini ila unalewa, dah!πŸ’
 
kuna rafiki yangu tukiwa shule,
alikua akibwia kuberi tu ni lazima abanwe na nnya akashushe tofali chooni, that was must ,

binafsi kuberi ilinishinda, yaani kitu unaweka mdomoni tu na humezi wala nini ila unalewa, dah!πŸ’
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mshenzi simsahau, alikuwa anaonesha banda la sinema, watoto tuliokuwa hatuna hela ilikuwa anakuwekea kubeli mdomoni ndo unaingia kuangalia movie. Watoto tulikunya hiyo siku πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah
 
2007 nipo form 4 seminary moja pale songea,time za break nilikua nakula bangi then muda wa prepo nakula kubeli,basi vile nilikua nasizi washkaji wakawa wanapenda sana...

Siku moja dom leader akaomba kubeli tena kwa kitisho kwamba nisingempa angenichomea..basi nikampa matemeo(kubeli ambayo nilitumia mwanzo nikala nikaitoa nikarudisha kwenye pakti) alikula kubeli akameza mate na kubeli yenyewe,alilala toka saa 4 usiku mpaka kesho saa 12 jioni...

Ilipogundulika nikapigwa saspensen ya miezi 3...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah pep mafegi ulitaka kutuulia dom leader πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…