Tufurahi kidogo:Je una historia gani na kuberi?

Ukimeza ile kitu lazima uzime. Sisi Kantalamba Boys Secondary school, ilikuwa ilitokea umemeza kuberi, unachukua nyoya la kuku, nachomeka kwenye koromeo. Unatapika kila kitu.
 
Lol ugoro ndio unilambishe akuu๐Ÿคฃ
Hivi wewe umewahi kutumia kweli ?
Nachukia mtu anaevuta ugoro na shoga ake fegi
Hayo yalikuwa enzi za shule huko, 2003, 2004. Age ya kujaribu kila kitu. Ugoro kama ugoro huu wa kienyeji sijatumia, ila hii kuberi, machozi ya simba, nimewahi tumia age hiyo. ๐Ÿ˜Š
 
Hayo yalikuwa enzi za shule huko, 2003, 2004. Age ya kujaribu kila kitu. Ugoro kama ugoro huu wa kienyeji sijatumia, ila hii kuberi, machozi ya simba, nimewahi tumia age hiyo. ๐Ÿ˜Š
Alooo hiyo myaka ulioyotaja isingekua rahisi mi kufahamu hizo issue

Anyway mmejaribu vingi naona
Kongole kwako kijana wa makamo
 
Kuna mshenzi simsahau, alikuwa anaonesha banda la sinema, watoto tuliokuwa hatuna hela ilikuwa anakuwekea kubeli mdomoni ndo unaingia kuangalia movie. Watoto tulikunya hiyo siku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dah ๐Ÿคฃ kwamba mkanye uharo sio
 
View attachment 3593158

Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi ๐Ÿ˜‚.
Mitaa ya kino mahakamani pale kwenye ile shule.... Si jamaa akameza๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€... Habari ilikwishia pale pale....

Kuberi ilikua na ufala flani sana inakuchota pole pole
 
Mitaa ya kino mahakamani pale kwenye ile shule.... Si jamaa akameza๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€... Habari ilikwishia pale pale....

Kuberi ilikua na ufala flani sana inakuchota pole pole

Taratiibu, kama ulikuwa umekaa utashangaa huinuki. Kuberi ina nicotine kiasi kikubwa, ndio hiyo hufanya watu wapate haja kubwa, ikifika tumboni.
 
Kuberi acha kabisa..
Nilienda kujifunika blanketi kitandani huku jua linawaka...
Zimerudi kivingine, mwaka jana nikapewa na bwana mdogo kaka yake waifu, hii inaitwa ZYN, nikabugia na kumeza, aaah...
Nilianza kuona kizunguzungu na nikaanza kuikumba hiyo siku ambapo ni miaka 30 iliyopita...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ