Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Wadai si mchoyo wa fadhila!
Kumbe huna lolote! Shemeji u-mwizi wa fadhila,
Fadhila huna! niliyofanya kwenu mnavyonichuna kwenu! Kuanzia Baba mkwe! Mama mkwe! Mashemeji! Takriban familia yote mnanichuna! Mnatakata! Mnabadili mboga! Mnanenepa tu! Ikiwa hapo ndiyo nimeposa tu kwenu! Lakini sijaona uliponishukuru!

jamani shemeji yangu...............wewe siwezi kukusahau.
Nyie ni members ambao mnanifanya niione JF tamu.
Siwezi kukutupa shemeji Judgement,
Nakupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Shem kweli nakuona umekwiva hehehe...usisite ukwamapo tena kwa jambo jenginelo.
Hongera kwa kuwa nasi hapa jamvini kwa mwaka mzima...barikiwa!!!
 
Ni kweli Madame B tumetoka mbali sana aisee ingawa siku hizi umetukumbia sana hata hatukumbukani lol
Hongera sana aisee na namwomba Mungu azidi kutuweka pamoja!
Enjoy being JF Member!

Asante sana Erickb52,.........
Unakumbuka 'unjuka' wangu wa siku ya kwanza?
Ila tumetoka mbali kaka binamu, sijakutupa ni vimajukumu vya jukwaa la chini ndo mana nakuwa kwenu kwa nadra, ila ondoa hofu nyie ni wangu.
Asanteni kwa Makaribisho yenu.
 
Last edited by a moderator:
Bro in law! Nisalimie Dadaangu K mimi na yeye tu-kaka na dada wa hiyari! Ntunzie dadaangu!
Asante kunitoa mwiba mguuni .
Nway hivyo umuonavyo Madame B muivo wake alivyokwiva kuna mchango wangu.

Shemeji yangu huyoooooooooo.
ni kweli Members wengi wameniivisha humu JF. Judgement mmoja wao
Asante shem................... nitunzie mdogo wangu YNNAH.
 
Last edited by a moderator:
Madame B hongera yako mwanadada..... myself nakutakia maisha marefu hapa JF
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Shem kweli nakuona umekwiva hehehe...usisite ukwamapo tena kwa jambo jenginelo.
Hongera kwa kuwa nasi hapa jamvini kwa mwaka mzima...barikiwa!!!

Amina shem watu8.
Yaani ile Kozi yako uliyonifundisha.......... nimekuwa mwalimu kwa wengine.
Asante sana watu8.
Bila ninyi nisingefika hapaa.
Nawashukuru sana wapendwa.
usijali, nikwamapo tutawasiliana.
 
Last edited by a moderator:
hongera yako mwanadada..... myself nakutakia maisha marefu hapa JF

Asante sana Loy MX,......... Nashukuru sana.
Asante nawe pia nakutakia maisha marefu ya hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom