Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
familia yangu mimi na Kipipi tunakutakia maisha marefu yenye furaha hapa jf. uendelee kuwa mtoto mwenye adabu na utii kwa watu wote. Leo ntakutafuta mitaa ya kino nikuhug kama ilivyo desturi yangu ya kuwapongeza wote wanao nijali kama wewe. mia
Asante sana sana Mpenda Yesu.
Wewe umekuwa ni mmoja kati ya members mnaonikubali sana humu jamvini.
Naliona hilo kila siku.
Nikwambie tu kuwa Nakupenda sana Mpenda Yesu, sana.
Asante.
Asante sana Switii wangu Arushaone.
Nakupenda sana tena sana.
Shhh angalia usijeongea kwa sauti Ben Saanane akasikia akajiua kwani ana wivu huyoo lol.
Asante sana Erickb52,.........
Unakumbuka 'unjuka' wangu wa siku ya kwanza?
Ila tumetoka mbali kaka binamu, sijakutupa ni vimajukumu vya jukwaa la chini ndo mana nakuwa kwenu kwa nadra, ila ondoa hofu nyie ni wangu.
Asanteni kwa Makaribisho yenu.