Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Ila watu wengine bana . . . .
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Anyways . . . kila la kheri Madam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mdogo wangu Madame B. Nafurah na nashukuru kukufahamu kupitia JF.Sasa nimeongeza idadi ya ndugu. Najua kuwa unaelewa vile familia yenu na yangu vile zipo karibu. Mungu akubariki sana
Amina kaka.
Ni kweli Nicas Mtei sasa hivi tumeshakuwa ndugu na ni JF iliyotuunganisha.
Naomba undugu wetu uendelee daima.
Karibu nyumbani.
mwaJ mamito,
Chit Chat ni Stress free zone mpenzi.
Nafurahi kusikia kuwa nimekuvuta mpaka umeingia CC.
Nakupenda sana mamito.
Ila watu wengine bana . . . .
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Anyways . . . kila la kheri Madam.
asee jamaa anaosha kwa kukupiga chini...
Hataaa!!!
Sio mimi kakosea jina au anaota tu.
Nakupenda pia Madame B wewe ni mmoja ya watu wanaofanya baadhi ya majukwaa ya JF yachangamke. Mtu ukichoka na kazi za kutwa nzima unaingia JF kujipumzisha kwa kusoma comments za wadau kama nyie unafurahi siku imeenda.