Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
hahahahaaaaaaa haya banaaaaaa nsahukuuu sana mndee
si wamwona alivyo bonge nikitaka kumtoroka napenya miguuni mwake....mpaka ageuke mie nishafika kwedikwazu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hivi yuko busy na charminglady.. yaani mhuni mhuni shemeji yangu.. atakuvunja moyo huyo Arushaone..
Hahahahahaha
Kwekweli mimi na my lovely baby Passion Lady tuna kupa hongera sana!
Hahahahahaha
Kwekweli mimi na my lovely baby Passion Lady tuna kupa hongera sana!
Mimi nikupongeze sana Madame B kwa namna unavyoichangamsha JF hasa CC, MMU na lile jukwaa letu lileeee! lol
Kiukweli kabisa nakutakia kila lililo jema kwakuwa uwepo wako hapa JF umekuwa wa thamani na faida kubwa sana kwa members wengi. Wewe ni mtu wa watu, nyota yako inang'ara kama almasi ya mererani!! no, sorry i mean tanzanite ya mwadui!! oops, nadhani umenisoma.
btw, wapi sasa tunagonga mchupa wa 1 year anniversary?
mmh! sijui ni ubize sasa kwann uzi kama huu unanipita hivi lol!
hongera mwaya mie mwenzio sikumbuki hata siku nliyojiunga mweeeh!
Madame B bishanga hakupongezi mpaka ufanye yafuatayo kisha umfuate:
1. Piga chini fasta wafuatao ( in that order): Chimbuvu tedo, Chilli, CHAI CHUNGU, Arusha one, Chibolo.... kiplagati26 huwezi kumpata ni incommunicado ana kazi maalum kenya.
2. Usingonoke nao tena si kwa vitendo tu bali pia kwa maneno na kwa mawazo
3. Weka picha yangu full time kwenye mkoba wako
4. Tumia perfume ambazo nimekununulia mimi na si nyingine
5. Hicho kimkoko uchwara alichokununulia Arushaone tupa kurrrreee,kuna rav4 brand new inakusubiri international motor mart,kaichukue
6. Tumba,marimba,magitaa,saxaphone na mazagazaga mengine ya @ chimbuvu tupa dampo
7. Mkopo uliiomba pride kau cancel,mi nna hela banaa
8. Ushoga na gfsonwin stop,siutaki,anakupeleka kwa vigagula
9. Koma kumsikiliza Mamndenyi
10. Jifunze kumenya ndizi
Ukishatimiza hayo kachukue tiketi yako klm ,kwea pipa utanikuta Amsterdam Radisson hotel
Dah!!!!!!!!
Bishanga, mbona wanitia majaribuni tena.
Mitihani hiyo migumu.
Afu ndio nirudiane na Ruttashobolwa au?
Hapana nampenda sana my akanana Passion Lady!
Labda umrudie Arushaone bado ana kulilia!
Cc Passion Lady