figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikukumbushe?
nikumbushe mpendwa wangu.
Nimekukumbuka sana. Hili lililonikumba sasa likipita ntakutafuta mpenzi wangu.
oooh! thats ma sweet lito bro!
luv you hny!
Umeona ehhh!!!!
oooh! thats ma sweet lito bro!
luv you hny!
I love u too my shem.
I love you too sweetpie sukari ya chai yangu.
Angalia sifa hizo.....
Sina namna ya kuwashukuru Members wenzangu kwa jinsi mlivyoungana nami katika kufurahi pamoja katika siku hii ya kutimiza mwaka mmoja hapa JF.
Tunaomba upendo uliopo kati yetu udumu,........tunapokwaruzana basi tusameheane,.......na tunapopishana kiswahili basi turekebishane.
kwani ninaamini Hkuna Mkamilifu Chini ya Jua, sote tuna mapungufu.
KUTOKA MOYONI KABISA NAOMBA NISEME KUWA,.....NAWAPENDASAA MEMBERS WOOOOTE.
MUNGU AWABARIKI......MAISHA YENU YOOTE YA HAPA DUNIANI.
ASANTENI.
Best Friends Forever (The BFF Song) -- A song for best friends by Bryant Oden - YouTube