Tutakosa misaada,1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi
2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama.
3. Kila anayeingia madarakani anawaza namna ya kumdhibiti mpinzani wake badala ya kuleta maendeleo kwa nchi yake.
4. Kwa mfumo tulio nao ni rahisi kutengeneza watu wanaotumika kwa faida ya nchi nyingine ili kulinda maslahi ya pande mbili, maslahi ambayo hayana tija kwa wananchi
5. Tunatumia gharama kubwa kutoa ruzuku kwa vyama, hiyo pesa ihudumie wananchi.
6. Kwa nchi zinazoendelea, demokrasia ni mtego. Ni namna rahisi ya mataifa makubwa kuweza kucontrol mataifa madogo kulingana na maslahi yake. Usipoendana nao wanamsapoti mpinzani wako then you are out.
7. Hii imefanya kuwepo na mfumo mbovu, wa uchaguzi, mtu mzima kala suti yake safii, ila ni mwizi wa kula. Kama kuweza kuiba kula atashindwa kuwaibia wananchi? Mwizi ni mwizi tu. Tunajidharirisha.
8. Huu mfumo hauendi na tabia na hulka yetu, ambayo ni wivu, umimi, ubinafsi, uchoyo n.k kumbuka mpaka sasa kunafamilia zinalisishana, mtu tatu ziko kwenye top leadership, rejea kula za maoni
Tutengeneneze chama kimoja kitakacho jikita katika kuleta maendeleo,
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele ndugu zetu waliofariki katika vurugu za vyama, R.I.P Akwirina,Mawazo, Mwangosi na wengineo
Walioko magerezani wakawe huru.
Waliopotezwa wanapatikana
Majeruhi wakapate kupona
Amina.
Wewe unaonaje? Toa maoni yako
"ni mwizi wa (KURA)kula. Kama kuweza kuiba (KURA)kula"!1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi
2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama.
3. Kila anayeingia madarakani anawaza namna ya kumdhibiti mpinzani wake badala ya kuleta maendeleo kwa nchi yake.
4. Kwa mfumo tulio nao ni rahisi kutengeneza watu wanaotumika kwa faida ya nchi nyingine ili kulinda maslahi ya pande mbili, maslahi ambayo hayana tija kwa wananchi
5. Tunatumia gharama kubwa kutoa ruzuku kwa vyama, hiyo pesa ihudumie wananchi.
6. Kwa nchi zinazoendelea, demokrasia ni mtego. Ni namna rahisi ya mataifa makubwa kuweza kucontrol mataifa madogo kulingana na maslahi yake. Usipoendana nao wanamsapoti mpinzani wako then you are out.
7. Hii imefanya kuwepo na mfumo mbovu, wa uchaguzi, mtu mzima kala suti yake safii, ila ni mwizi wa kula. Kama kuweza kuiba kula atashindwa kuwaibia wananchi? Mwizi ni mwizi tu. Tunajidharirisha.
8. Huu mfumo hauendi na tabia na hulka yetu, ambayo ni wivu, umimi, ubinafsi, uchoyo n.k kumbuka mpaka sasa kunafamilia zinalisishana, mtu tatu ziko kwenye top leadership, rejea kula za maoni
Tutengeneneze chama kimoja kitakacho jikita katika kuleta maendeleo,
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele ndugu zetu waliofariki katika vurugu za vyama, R.I.P Akwirina,Mawazo, Mwangosi na wengineo
Walioko magerezani wakawe huru.
Waliopotezwa wanapatikana
Majeruhi wakapate kupona
Amina.
Wewe unaonaje? Toa maoni yako
Wazo zuri sana,Tutengeneneze chama kimoja kitakacho jikita katika kuleta maendeleo,
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele ndugu zetu waliofariki katika vurugu za vyama, R.I.P Akwirina,Mawazo, Mwangosi na wengineo
Walioko magerezani wakawe huru.
Waliopotezwa wanapatikana
Majeruhi wakapate kupona
Amina.
Wewe unaonaje? Toa maoni yako
Vyama vyote vya upinzani vilivyokuwa na nguvu vilipitia inachopitia Chadema, viongozi na wafuasi wake waliteswa na kuuawa.1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi
2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama.
3. Kila anayeingia madarakani anawaza namna ya kumdhibiti mpinzani wake badala ya kuleta maendeleo kwa nchi yake.
4. Kwa mfumo tulio nao ni rahisi kutengeneza watu wanaotumika kwa faida ya nchi nyingine ili kulinda maslahi ya pande mbili, maslahi ambayo hayana tija kwa wananchi
5. Tunatumia gharama kubwa kutoa ruzuku kwa vyama, hiyo pesa ihudumie wananchi.
6. Kwa nchi zinazoendelea, demokrasia ni mtego. Ni namna rahisi ya mataifa makubwa kuweza kucontrol mataifa madogo kulingana na maslahi yake. Usipoendana nao wanamsapoti mpinzani wako then you are out.
7. Hii imefanya kuwepo na mfumo mbovu, wa uchaguzi, mtu mzima kala suti yake safii, ila ni mwizi wa kula. Kama kuweza kuiba kula atashindwa kuwaibia wananchi? Mwizi ni mwizi tu. Tunajidharirisha.
8. Huu mfumo hauendi na tabia na hulka yetu, ambayo ni wivu, umimi, ubinafsi, uchoyo n.k kumbuka mpaka sasa kunafamilia zinalisishana, mtu tatu ziko kwenye top leadership, rejea kula za maoni
Tutengeneneze chama kimoja kitakacho jikita katika kuleta maendeleo,
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele ndugu zetu waliofariki katika vurugu za vyama, R.I.P Akwirina,Mawazo, Mwangosi na wengineo
Walioko magerezani wakawe huru.
Waliopotezwa wanapatikana
Majeruhi wakapate kupona
Amina.
Wewe unaonaje? Toa maoni yako
Hazi kutoshi , tumekuwa na siasa za chama kimoja rangu mwaka 1964 mpaka leo . Sasa siasa za democratic zimezuwiyaje maendeleo? Tanzania hakuna hata siku moja bunge limezuwia budget kupita, sasa huo ubishi wa kuzuwia maendeleo umetoka wapi. Shida sio vyama vingi shida ni chama tawala kushindwa kuongoza na kufuwata sheria zake zenyewe. Hatakampuni ya biashara ikipuuza taratibu za biashara lazima ifilisike. Watu wapumbavu wakishindwa jambo badala ya kutafuta wameshindwa wapi? Watumia mda kutafuta mchawi wakati mchawi ni upumbavu wao. Ndio maana serikali nzima inapambana na mtu mmoja . Wakati matatizo ya nchi yako njenje.1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi
2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama.
3. Kila anayeingia madarakani anawaza namna ya kumdhibiti mpinzani wake badala ya kuleta maendeleo kwa nchi yake.
4. Kwa mfumo tulio nao ni rahisi kutengeneza watu wanaotumika kwa faida ya nchi nyingine ili kulinda maslahi ya pande mbili, maslahi ambayo hayana tija kwa wananchi
5. Tunatumia gharama kubwa kutoa ruzuku kwa vyama, hiyo pesa ihudumie wananchi.
6. Kwa nchi zinazoendelea, demokrasia ni mtego. Ni namna rahisi ya mataifa makubwa kuweza kucontrol mataifa madogo kulingana na maslahi yake. Usipoendana nao wanamsapoti mpinzani wako then you are out.
7. Hii imefanya kuwepo na mfumo mbovu, wa uchaguzi, mtu mzima kala suti yake safii, ila ni mwizi wa kula. Kama kuweza kuiba kula atashindwa kuwaibia wananchi? Mwizi ni mwizi tu. Tunajidharirisha.
8. Huu mfumo hauendi na tabia na hulka yetu, ambayo ni wivu, umimi, ubinafsi, uchoyo n.k kumbuka mpaka sasa kunafamilia zinalisishana, mtu tatu ziko kwenye top leadership, rejea kula za maoni
Tutengeneneze chama kimoja kitakacho jikita katika kuleta maendeleo,
Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele ndugu zetu waliofariki katika vurugu za vyama, R.I.P Akwirina,Mawazo, Mwangosi na wengineo
Walioko magerezani wakawe huru.
Waliopotezwa wanapatikana
Majeruhi wakapate kupona
Amina.
Wewe unaonaje? Toa maoni yako
Fikiria hao watoto wangekua hapa ni maumivu kiasi gani wangeyapata kuona baba yao ambaye ametiwa ulemavu na wahofia mafaraka yao anavyotendewa, ni dhahiri wasingeweza kusoma na hakuna shule ingewapokea ikihofia kufungwa na watawala.Wazo zuri sana,
ila Lissu atakuja kukufundisha kifungu cha sheria a, be, che, de, kutoka Wapi sijui.
"watoto wangu wako marekani mke wangu yuko ulaya Belgium, na mimi niko ukonga.😁"
Tuna demokrasia👊.
Hoja yako ni ipi kati ya hizi?sijakupataHazi kutoshi , tumekuwa na siasa za chama kimoja rangu mwaka 1964 mpaka leo . Sasa siasa za democratic zimezuwiyaje maendeleo? Tanzania hakuna hata siku moja bunge limezuwia budget kupita, sasa huo ubishi wa kuzuwia maendeleo umetoka wapi. Shida sio vyama vingi shida ni chama tawala kushindwa kuongoza na kufuwata sheria zake zenyewe. Hatakampuni ya biashara ikipuuza taratibu za biashara lazima ifilisike. Watu wapumbavu wakishindwa jambo badala ya kutafuta wameshindwa wapi? Watumia mda kutafuta mchawi wakati mchawi ni upumbavu wao. Ndio maana serikali nzima inapambana na mtu mmoja . Wakati matatizo ya nchi yako njenje.
Ni sawa kabisa,Fikiria hao watoto wangekua hapa ni maumivu kiasi gani wangeyapata kuona baba yao ambaye ametiwa ulemavu na wahofia mafaraka yao anavyotendewa, ni dhahiri wasingeweza kusoma na hakuna shule ingewapokea ikihofia kufungwa na watawala.
Hoja yako ni ipi. Inawezakana yeye sio bora lakini tutambue aina ya siasa anayoipigania ndio itakayoweza kutupa viongozi bora kwa sasa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima ajiweke mbali na uchafu wa uongozi wa nchi hii kupitiq mchakato ya kawaida. Kwa sababu umekaa kiwizi na kidhalili umeona profesa kule moshi amepata kura 8 huenda bado hajajifunza kuishi na uchafu ulioko vilevile wako wengi wamerudi nyuma kulinda integrity na haiba zao kuliko kushiriki hatua za kiungozi za nchi hiiNi sawa kabisa,
Mkewe na wanae tuwaache wapate kilicho bora.
but uroho wa madaraka umemrudisha hapa.
Huyo toka miaka gani sijui kawa mbunge wa huko Singida amefanya nini?
Kazi ya mbunge ni kupeleka tatizo la eneo lake utekelezaji unategemea vipaumbele vya serikali na mwendazake alishasema "mkimchagua mpinzani jimbo lenu hamtapata pesa za maendeleo"! Ulitaka utumie pesa zake? Kumbuka alimsurubu Mkapa akazitema milioni---- na kiroba cha dhahabu.Ni sawa kabisa,
Mkewe na wanae tuwaache wapate kilicho bora.
but uroho wa madaraka umemrudisha hapa.
Huyo toka miaka gani sijui kawa mbunge wa huko Singida amefanya nini?
Uko sawa, haya tuletee mgombea unayeona ataleta mabadiliko.Hoja yako ni ipi. Inawezakana yeye sio bora lakini tutambue aina ya siasa anayoipigania ndio itakayoweza kutupa viongozi bora kwa sasa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima ajiweke mbali na uchafu wa uongozi wa nchi hii kupitiq mchakato ya kawaida. Kwa sababu umekaa kiwizi na kidhalili umeona profesa kule moshi amepata kura 8 huenda bado hajajifunza kuishi na uchafu ulioko vilevile wako wengi wamerudi nyuma kulinda integrity na haiba zao kuliko kushiriki hatua za kiungozi za nchi hii