- Thread starter
- #21
Kipi ambacho hujaelewa #JaneHuna point. No wonder umekula za uso mwanzo mwisho. Jipangeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi ambacho hujaelewa #JaneHuna point. No wonder umekula za uso mwanzo mwisho. Jipangeeeee
pichaIko hivi...
Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)!
Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash!
Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva!
Tufahamu kwamba maombi ya kazi ya kuosha magari (Carwash) hayahitaji leseni wala Curriculum Vitae ya Maandishi (CV), Cha zaidi sana muombaji kazi hubeba kitauro begani au Tambala tu kama CV!
Mbali na kuendesha, Mtu ambaye hana leseni ya udereva hatakiwi kabisa hata kukaa siti ya dereva kama tahadhari!
Hivyo tunapowaachia vijana kusogeza magari kosa au janga lolote likitokea tufahamu kuwa bima haiwezi kukulipa wala Mwenye Carwash hawajibishwi kulipa uharibifu wa aina yoyote!
NB; Kwenye Carwash zenye winchi au mahandaki Janga lolote la Winchi ya kunyanyulia magari ikifeli na kuua muosha gari, Gari lako linatakiwa kushikiliwa kwa mda usiojulikana kwa kosa la Mauaji wakati upelelezi ukiendelea!
GARI SIYO NGUO KWA DOBI, TUSIJISAHAU SANA!
Mwosha magari anaoshea magari barabarani?Fundi gari hutengeneza gari likiwa gereji!
Test ni kuanzia Airport hadi Kisesa au MaguFundi gari hutengeneza gari likiwa gereji!
Kapicha tafadhaliIko hivi...
Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)!
Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash!
Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva!
Tufahamu kwamba maombi ya kazi ya kuosha magari (Carwash) hayahitaji leseni wala Curriculum Vitae ya Maandishi (CV), Cha zaidi sana muombaji kazi hubeba kitauro begani au Tambala tu kama CV!
Mbali na kuendesha, Mtu ambaye hana leseni ya udereva hatakiwi kabisa hata kukaa siti ya dereva kama tahadhari!
Hivyo tunapowaachia vijana kusogeza magari kosa au janga lolote likitokea tufahamu kuwa bima haiwezi kukulipa wala Mwenye Carwash hawajibishwi kulipa uharibifu wa aina yoyote!
NB; Kwenye Carwash zenye winchi au mahandaki Janga lolote la Winchi ya kunyanyulia magari ikifeli na kuua muosha gari, Gari lako linatakiwa kushikiliwa kwa mda usiojulikana kwa kosa la Mauaji wakati upelelezi ukiendelea!
GARI SIYO NGUO KWA DOBI, TUSIJISAHAU SANA!
Ni sawa na kusema mwosha gari hulisogeza gari likiwa carwashFundi gari hutengeneza gari likiwa gereji!
MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?Kwa haya maelezo traffic anaweza kamata gari hata parking ya Kanisa au shopping malls.
Wakati sisi tunawaita askari wa usalama barabarani Garage, Carwash au parking wanafuata Nini?
Kwa kifupi ipo hivi watu wa Carwash au Garage wanalazimika kuwa na Motor Trade Insurance inayo cover magari yanayokuwa Chini ya uangalizi wao in case of any accident.
(Sasa hapa siongelei Garage ya Kwa Mangi Chini ya Mwembe au Carwash ya Bonde la mto msimbazi maana hayo mengine ni at your own risk na kibongobongo hayo matatizo ni very rare kutokea.)
Kapicha tafadhali
MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?expand...
Ndio nimekwambia Carwash na Garage wanatakiwa kuwa na bima ya Motor Trade Insurance to cover the vehicles which are in their custody.MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?
Nimekuelewa vyema, ingawa wachangiaji wengi wamekupa za uso huku wakijaribu kuhalalisha mazoea ionekane ndio utaratibu. Ni muhimu mtu kuwa na leseni halali ya udereva anapoendesha chombo cha moto. Ishu ya askari 'trafiki' kukufuata car wash ni sahihi, ni sawa na mtu mwenye leseni halali anayemgonga na gari lake mtu mwingine mfano mtoto wake mdogo akiwa ndani ya uzio wa nyumba yake (mmiliki wa gari na leseni) na kusababisha kifo au majeruhi, bado atashikiliwa na polisi watakaomfuata hapohapo nyumbani kwake na atafikishwa mahakamani kama kawa.MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?
Hata kama watakuwa na BIMA GANI!Ndio nimekwambia Carwash na Garage wanatakiwa kuwa na bima ya Motor Trade Insurance to cover the vehicles which are in their custody.
Ukienda Serena au Sea Clif wameweka vibao vya Park at your own risk lakini sio kwamba hawana bima ya parkiy lot yao ukiibiwa gari una haki ya kuwadai bila kutumia bima yako.
Na nimekwambia Motor Trade Insurance waosha magari wa mitoni au Garage za Chini ya Mwembe hawawezi kuwa nazo ingawa ni cheap, is up to you on your options kwa gharama na urahisi wa huduma