Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

unashangaa haya mambo ndo yatakuwa yanajadiliwa bungeni[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Na muosha magari huosha akiwa barabarani?
Fundi gereji pia akimaliza kutengeneza anatest gari tena kwa mbwebwe anaingia road.
Taratibu za kufungua Carwash hazilingani na za gereji!
Fahamu kwamba Carwash anahitaji kibari cha mazingira tu, lakini gereji inahitaji usajili na ikiwemo vyeti na leseni!
Jaribu kutofautisha
 
Hata kama watakuwa na BIMA GANI!
Sheria bado inaelekeza chombo cha usafili lazima kiendeshwe na mtu mwenye leseni ya udereva!
Bila leseni hiyo bima haina maana ni kuwapelekea ulaji watu wa bima tu.!

HAKUNA EXCUSE YA KUSOGEZA AU KUENDESHA GARI BILA LESENI!
Ikumbukwe bima inategemea taarifa za traffic, na traffic anaandika taarifa za dreva mwenye

Hata kama watakuwa na BIMA GANI!
Sheria bado inaelekeza chombo cha usafili lazima kiendeshwe na mtu mwenye leseni ya udereva!
Bila leseni hiyo bima haina maana ni kuwapelekea ulaji watu wa bima tu.!

HAKUNA EXCUSE YA KUSOGEZA AU KUENDESHA GARI BILA LESENI!
Ikumbukwe bima inategemea taarifa za traffic, na traffic anaandika taarifa za dreva mwenye leseni! Mbali na hapo umeliwa
Hapa sijui unachojaribu kubishia nimekwambia hiyo bima huwezi ikuta kwa garage ya Chini ya Mwembe na wala Carwash za kwenye mito wewe chagua urahisi upo wapi.

Haiwezekani mtu akate bima ya Motor Trade aruhusu mtu asiye na leseni asogeze au kutest gari. Na ndio maana Kuna wakati tunapishana na magari yenye plate zinazoonyesha yapo kwenye majaribio from rapair.

Kuweka rekodi sawa si kila ajali bima watategemea ripoti za traffic na hasa Kama ajali haijatokea barabarani.
 
Back
Top Bottom