Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

Zama hizi leseni sio anasa, tena sio issue kumiliki kama enzi za mwalimu,siku hizi hadi mabodaboda wengi wanazo,
tena waosha magari wengi ni vijana hawahawa wanaokosa bodaboda wanaangalia channel nyingine huko ya kuosha magari.
Hiyo gari kukamatwa gereji au car wash ndio leo naiskia kwako,hebu niwekee kifungu hicho cha sheria na mimi nijisomee bila kuongezewa chumvi.
 
Kama ni hivyo mbona hata mafundi garage wengi hawana leseni za kuendeshea magari...

Lakini wanazi test barabarani...




Cc: mahondaw
 
picha
 
Popcorn kidogo wakati nikiangalia mtifuano kati ya carwasher_wamiliki wa magari_trafick police ambaye kaanza kazi leo.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwa haya maelezo traffic anaweza kamata gari hata parking ya Kanisa au shopping malls.

Wakati sisi tunawaita askari wa usalama barabarani Garage, Carwash au parking wanafuata Nini?

Kwa kifupi ipo hivi watu wa Carwash au Garage wanalazimika kuwa na Motor Trade Insurance inayo cover magari yanayokuwa Chini ya uangalizi wao in case of any accident.

(Sasa hapa siongelei Garage ya Kwa Mangi Chini ya Mwembe au Carwash ya Bonde la mto msimbazi maana hayo mengine ni at your own risk na kibongobongo hayo matatizo ni very rare kutokea.)
 
Kapicha tafadhali
 
MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?
 
Mkuu una miliki gari gani? Maana vitu unavyosema ni vya kawaida sana BIMA inalipa endapo dereva ni authorized na mwenye gari
 
MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?
Ndio nimekwambia Carwash na Garage wanatakiwa kuwa na bima ya Motor Trade Insurance to cover the vehicles which are in their custody.

Ukienda Serena au Sea Clif wameweka vibao vya Park at your own risk lakini sio kwamba hawana bima ya parkiy lot yao ukiibiwa gari una haki ya kuwadai bila kutumia bima yako.

Na nimekwambia Motor Trade Insurance waosha magari wa mitoni au Garage za Chini ya Mwembe hawawezi kuwa nazo ingawa ni cheap, is up to you on your options kwa gharama na urahisi wa huduma
 
Bora Tumechagua Ccm Watatuondolea Hili, Uzuri Wana Vitabulisho Vya Baba Mwenyewe, Sheria Nyingine Zitaufyata Mkia Wa Mbuzi πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
MFANO! KATIKA KUSOGEZA GARI IKATOKEA YULE KIJANA WA CARWASH AKAGONGA MAGARI MENGINE NANI ATALIPA? AU IKITOKEA GARI AKALIANGUSHA AU KUGONGA UKUTA NANI ATALIPA?
Nimekuelewa vyema, ingawa wachangiaji wengi wamekupa za uso huku wakijaribu kuhalalisha mazoea ionekane ndio utaratibu. Ni muhimu mtu kuwa na leseni halali ya udereva anapoendesha chombo cha moto. Ishu ya askari 'trafiki' kukufuata car wash ni sahihi, ni sawa na mtu mwenye leseni halali anayemgonga na gari lake mtu mwingine mfano mtoto wake mdogo akiwa ndani ya uzio wa nyumba yake (mmiliki wa gari na leseni) na kusababisha kifo au majeruhi, bado atashikiliwa na polisi watakaomfuata hapohapo nyumbani kwake na atafikishwa mahakamani kama kawa.

Umeeleweka mkali, tahadhari ni muhimu sana.
 
Hata kama watakuwa na BIMA GANI!
Sheria bado inaelekeza chombo cha usafili lazima kiendeshwe na mtu mwenye leseni ya udereva!
Bila leseni hiyo bima haina maana ni kuwapelekea ulaji watu wa bima tu.!

HAKUNA EXCUSE YA KUSOGEZA AU KUENDESHA GARI BILA LESENI!
Ikumbukwe bima inategemea taarifa za traffic, na traffic anaandika taarifa za dreva mwenye leseni! Mbali na hapo umeliwa
 
Mimi jamaa alipindua Gari yangu nwakati anaipandisha kwenye sehemu ya kuoshwa chesis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…