Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

unashangaa haya mambo ndo yatakuwa yanajadiliwa bungeni[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Na muosha magari huosha akiwa barabarani?
Fundi gereji pia akimaliza kutengeneza anatest gari tena kwa mbwebwe anaingia road.
Taratibu za kufungua Carwash hazilingani na za gereji!
Fahamu kwamba Carwash anahitaji kibari cha mazingira tu, lakini gereji inahitaji usajili na ikiwemo vyeti na leseni!
Jaribu kutofautisha
 

Hapa sijui unachojaribu kubishia nimekwambia hiyo bima huwezi ikuta kwa garage ya Chini ya Mwembe na wala Carwash za kwenye mito wewe chagua urahisi upo wapi.

Haiwezekani mtu akate bima ya Motor Trade aruhusu mtu asiye na leseni asogeze au kutest gari. Na ndio maana Kuna wakati tunapishana na magari yenye plate zinazoonyesha yapo kwenye majaribio from rapair.

Kuweka rekodi sawa si kila ajali bima watategemea ripoti za traffic na hasa Kama ajali haijatokea barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…