OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nyau mpira upo mdomoni tuYanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.
Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
Aisaee... kumbe Waarabu wanalijua kandanda eeh?
Akili kisoda hizi zinapatikana Utopolo tu.Yanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.
Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
Yanga ni bingwa wa kihistoria, Tangu nchi ipate uhuru Yanga imetwaa makombe mengi kuliko timu zote hapa nchini. Hivyo msiikosee adabu.Akili kisoda hizi zinapatikana Utopolo tu.
Kwanini nye msitembelee hizo ofisi za CAF ,shamelesaYanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.
Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.
Huyu mtu naye ameshitakiwa na kampuni zake.Hizi nafasi zimeisaidia nini Simba zaidi ya kuwa tegemezi kwa mtu?
Tutaenda mwakani kuwajulisha kuwa Yanga ni bingwa wa kihistoria na ni bingwa wa kombe la Mapinduzi, tunastahiki kuwa nafasi kumi za juu.Kwanini nye msitembelee hizo ofisi za CAF ,shamelesa
Pamoja na ubingwa wa kihistoria hivi Yanga wanaizidi nini Ihefu?Tutaenda mwakani kuwajulisha kuwa Yanga ni bingwa wa kihistoria na ni bingwa wa kombe la Mapinduzi, tunastahiki kuwa nafasi kumi za juu.
Matokeo ya Kidato cha Nne yamemsaidia aliefaulu au top 10 kuwa na uhakika wa kusonga mbele!Hizi nafasi zimeisaidia nini Simba zaidi ya kuwa tegemezi kwa mtu?
Katembelee wewe ili uwe kwenye list na ushiriki Mashindano ya CAFYanga ni Bingwa wa kombe la Mapinduzi na Simba ni mshindi wa pili wa kombe hilo kwa mwaka huu 2021. Hivyo ni sawa na mkubwa na mdogo wake.
Hizo record za CAF zimekuja baada ya viongozi wa Simba na CEO wao mpya kwenda kutembelea ofisi za CAF ndio matunda yake ni hayo.